Connect with us

Lyrics

Bahati – Naanza Tena Lyrics

Published

on

EMB Records

Ni Bahati Tena

 

Mungu wangu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Nipe nguvu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Hii hii ribi sandarem

Baba yo Baba

Nyimbo nzuri nikutungie eeh, babaa

Baba wale iwafikie eh, ah

Uchungu wangu nikupatie

Dawa yangu unitafutie

Ila shida zanisonga Sana

Wakati nakosa kumwambia

Nimekonda Sana

Mawazo ya kesho si unajua

 

Ila shida zanisonga Sana

Wakati nakosa kumwambia

Nimekonda Sana

Mawazo ya kesho si unajua

 

Mungu wangu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Nipe nguvu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Unaitwa Jehovah jaire, jaire

Upendalo Baba basi na liwe

Wanakuita Jehovah Jaire, jaire

Upendalo Baba basi na liwe

 

Wanakuita baba wa yatima

Mume wa wajane

Wanakuita baba wa yatima

 

Wanakuita baba wa yatima

Mume wa wajane

Wanakuita baba wa yatima

 

Mungu wangu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Nipe nguvu naanza Tena

Aah Tenaa, Tena

Naanza Tena

 

Oooh oooh oooh,, aaa he

Yesu wangu,,, aaa hee

Baba yangu,,,, aaa hee

We si unajuwa,, aaa hee

 

Roho yangu,, aaa hee

Tamanio langu,, aaa hee

Mungu wangu,, aaa hee

We si unajuwa,, aaa hee

Continue Reading
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending 🔥🔥